Mwakilishi
wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa
Jumapili Agosti 11 Feza Kessy aliwasili jana jioni Tanzania katika
uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.
Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !