Habari Zetu :

Home » , » MAJINA YA WALICHAGULIWA VYUO VYA AFYA 2013/2014

MAJINA YA WALICHAGULIWA VYUO VYA AFYA 2013/2014

Written By Unknown on Monday, October 21, 2013 | 4:26 AM

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA MASOMO WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA WANAFUNZI WA AKIBA, MUHULA WA MASOMO 2013/2014

1. Wanafunzi wote waliochaguliwa kuiunga na masomo, wanatakiwa kuwa chuoni ifikapo tarehe 3/11/2013, tayari kwa kuanza masomo tarehe 4/11/2013.

2. Mwanafunzi ambaye hatafika chuoni ifikapo tarehe 9/11/2013, nafasi yake itajazwa na mwanafunzi mwingine toka orodha ya akiba (Reserve list)

3. Wanafunzi wa akiba (Reserve) watapewa nafasi zitakazoachwa wazi, endapo wanafunzi waliochaaguliwa hawatafika chuoni kwa muda uliopangwa hapo juu.

4. Wanafunzi wote ambao wamo katika orodha ya akiba (Reserve list), wanatakiwa kuthibitisha utayari wao wa kujiunga na masomo kwa kuandika barua na kuwasilisha kwenye kituo ambacho alipeleka maombi yake au kwa kutuma ujumbe mfupi unaoainisha jina kamili na aina ya kozi, kupitia namba za simu 0754646304/0785112233/0754764877. Tuma ujumbe usipige simu.

5. Hairuhusiwi kutuma ujumbe au kupiga simu ya kuomba nafasi ya masomo. Utaratibu wa kuomba nafasi za masomo utatangazwa muda utakapofika.

6. Taarifa za wanafunzi wote waliochaguliwa na taarifa nyingine muhimu kuhusu kujiunga na masomo, zitapatikana vyuo vyote vya mafunzo ya afya, kwenye kanda/vituo vyote vilivyopokea maombi na tovuti ya wizara ambayo ni www.moh.go.tz
Idara ya Mafunzo,
19/10/2013

<<<BOFYA HAPA KUPATA MAJINA>>>

<<MAJINA YA UUGUZI CLICK HAPA>>

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template