Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha
ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08
mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.
Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.
Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.
Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549.
Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.
Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro). Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.

0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !