Mkutano wa CHADEMA kabla ya bomu kulipuka.
Picha Baada ya mlipuko wa bomu.
Leo ikiwa ni siku ya mwisho kufanya kampeni za udiwani, mkoani Arusha kumetokea dosari baada ya watu
saba kujeruhiwa kwa mlipuko wa bomu uliotokea mara baada ya kumalizika
mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa
ukifanyika katikaViwanja vya Soweto Mjini Arusha.
Kwa habari zaidi endelea kutembelea website hii.
Sipati picha!Hao wanajaribu kila mbinu tupigane, tusidanganyike tukapigana.serikali jitahidini tunajua na wabaya wa hii nchi wanajificha wasipatikane.yaani wakikamatwa wawe mfano.
ReplyDelete