BREAKING NEWZ.....MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2013 YAMETANGAZWA
Baraza
la mitihani hivi sasa linatangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka
2013. Matokeo hayo yatapatikana muda mfupi ujao kwenye hii blog.
Asilimia 93 ya waliofanya mtihani huo wa kidato cha 6 wamefaulu.
Shule ya kwanza iliyoongoza ni Marian Girls ya mkoani Pwani na ya pili ni Mzumbe ya Morogoro.
Mwanafunzi wa 1 wa kiume kwa sayansi ni Erasmi Inyase kutoka Ilboru, na kwa wasichana ni Lucylight wa Marian girls.
Upande wa masomo ya Biashara mwanafunzi wa 1 ametoka shule ya Tusiime anaitwa Erick Robert.
Wanafunzi 89 matokeo yao yamezuiliwa kwa sababu mbalimbali.
Wanafunzi watakaothibitika kuwa walikuwa na matatizo ya kiafya, watapewa nafasi ya kurudia mtihani.
SIKU NJEMA.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !