Ukweli
ni kwamba bado hajachukua fomu ya kushiriki na wala hajawa na mpango wa
kwenda BBA 2013 kwa sababu ana mipango mingi ikiwemo kufungua ofisi
yake mpya.
Lakini
kwa uapnde mwingine wa Wema anasema anafurahi kusikia watu
wakimuongelea hivyo kwa sababu wameonyesha kumuamini kwa kumuona anaweza
kuingia BBA, anachosisitiza ni kwamba aliwahi kuwaza kwenda BBA lakini
hajawa na uhakika kuhusu yeye kushiriki.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !