Habari Zetu :

Home » , » RAIS MATATANI

RAIS MATATANI

Written By Unknown on Thursday, November 15, 2012 | 10:13 AM

Kutokana na kinachodaiwa kuwa matumizi mabaya ya mkwanja wa serikali ya wanafunzi,Rais wa wanafunzi St John’s University Dar es Salaam campus(St Mark's),amejikuta matatani hii ni baada ya kutumia  vibaya student organisation fund.Hii ni kwa mujibu wa taarifa zilizopo chuoni hapo ambapo wanafunzi wanajipanga kumng’oa madarakani hii ni baada ya matumizi mabaya ya madaraka aliyopewa na wanafunzi na wameamua kuitisha kikao cha wanachuo wote wa chuo hicho kikao ambacho kitafanyika chuoni hapo siku ya kesho ijumaa tarehe 16 mwezi huu,kwa taarifa zilizozagaa chuoni inasemekana rais huyo ametumia vibaya   fedha za organisation ya wanafunzi hii ni baada ya wadau vyuoni  kutuma taarifa hizi.Kwa mwendo huu hatutafika!!

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template