Habari Zetu :

Home » , » WANACHAMA SIMBA WAANDAMANA HAWAMTAKI KABURU NA KASEJA.

WANACHAMA SIMBA WAANDAMANA HAWAMTAKI KABURU NA KASEJA.

Written By Unknown on Monday, November 5, 2012 | 12:23 PM

Baadhi ya wanachama wa Simba leo hii wameandama mpaka kwenye makao makuu ya klabu hiyo wakiwa na mabango yaliyokuwa yakiwataka makamu mwenyekiti wa Simba Godfrey Kaburu na Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja kuachia nafasi kwenye timu kwa madai ya kuihujumu timu na kupata matokeo mabaya.


Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template