
Mzee Nelson “Madiba” Mandela amefariki dunia kwa mujibu wa CNN mzee
Madiba amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95. Kwa mujibu wa Rais
wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema mzee Mandela amefariki
Ijumaa usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu. Anatarajiwa kuzikwa baada ya
siku 10 zijazo.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !