Hali ni mbaya huko MTWARA. Risasi za Moto & Mabomu Yarushwa Bila Huruma,
Majengo Yateketea, Watu Wauawa, Daraja Lavunjwa! KIMENUKA!! Watanzania
leo hii hawaogopi risasi wala mabomu!
KAULI MBIU NI: "Gesi Haitoki Hata Kwa Bomba La Peni"
Kuna
habari kwamba Gari ya JWTZ kutokea kambi ya Nachingwea likielekea
Mtwara 'kuongeza nguvu' limepata ajali mbaya na kusababisha maafa ya
askari...
Jumla ya askari 32 ndio walikuwa safarini kuelekea
mjini Mtwara wakiwa ndani ya gari hilo. Ajali hiyo imepelekea vifo vya
Askari wanne (4) wa JWTZ maeneo ya Kilimahewa huko Nachingwea na katika
ajali hiyo waliojeruhiwa ni saba (7).
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !