RUGE MUTAHABA; Baada ya mwanamziki mahiri hapa nchini, Lady Jay Dee kutoa wosia kwa kuwataka Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga kutohudhuria msiba wake, mmoja wa wahusika amesema yuko tayari kujibu tuhuma hizo. Siku ya jumatatu kwenye kipindi cha Power Breakfast ambacho hurushwa na Clouds FM kuanzia saa 12 - saa 3 asubuhi, Ruge ataongelea issue ya Jay Dee kuanzia saa mbili asubuhi.
Lady Jay Dee ameingia
kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge
Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !