Habari Zetu :

Home » , , » PICHA NYINGINE ZA MSANII ‘RAYUU' ZANASWA!! MWENYEWE ADUWAA ....ZITAZAME HAPA

PICHA NYINGINE ZA MSANII ‘RAYUU' ZANASWA!! MWENYEWE ADUWAA ....ZITAZAME HAPA

Written By Unknown on Wednesday, October 24, 2012 | 6:27 AM


WIKI kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hi hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.



Baadhi ya picha za chafu za Rayuu zilizosambaa mitandaoni.

Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua. Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu ni msanii ambaye hajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.

“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,” alisema kwa hasira
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

293957

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template