Habari Zetu :

Home » , » BREAKING NEWS RAIS MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI MZEE NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS RAIS MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI MZEE NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA

Written By Unknown on Thursday, December 5, 2013 | 6:30 PM




Mzee Nelson “Madiba” Mandela amefariki dunia kwa mujibu wa CNN mzee Madiba amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95. Kwa mujibu wa Rais wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema mzee Mandela amefariki Ijumaa usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu. Anatarajiwa kuzikwa baada ya siku 10 zijazo.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template