Habari Zetu :

Home » , , » RUGE KUJIBU WOSIA WA LADY JAY DEE

RUGE KUJIBU WOSIA WA LADY JAY DEE

Written By Unknown on Friday, May 3, 2013 | 11:13 AM











 


 RUGE MUTAHABA; Baada ya mwanamziki mahiri hapa nchini, Lady Jay Dee kutoa wosia kwa kuwataka Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga kutohudhuria msiba wake, mmoja wa wahusika amesema yuko tayari kujibu tuhuma hizo. Siku ya jumatatu kwenye kipindi cha Power Breakfast ambacho hurushwa na Clouds FM kuanzia saa 12 - saa 3 asubuhi, Ruge ataongelea issue ya Jay Dee kuanzia saa mbili asubuhi. 

Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template