Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2012 kuwa mabovu kupita kiasi, wadau wameibuka na maoni tofauti. Pichani ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akionyesha mitaala iliyosababisha wanafunzi kufanya vibaya. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa chama hicho, Bw. Faustine Sungura.
MBATIA AONYESHA TATIZO LA MATOKEO MABOVU KIDATO CHA NNE 2012
Written By Unknown on Friday, February 22, 2013 | 7:12 AM
Labels:
mchanganyiko,
mpya
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !