Habari Zetu :

Home » , , » MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 YAMETOKA

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 YAMETOKA

Written By Unknown on Friday, February 21, 2014 | 7:55 AM

Photo: #HOTMIX (11:00 Jioni): UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013.

Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

Je, nini maoni yako kuhusu matokeo haya? Weka maoni yako hapa.


 Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha

 ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08

 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.


Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu. 

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.

Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549.

Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.

Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.


Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987. 

Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro). Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.


<<<PATA MATOKEO HAPA>>>
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template