Habari Zetu :
Home » , » MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA 2013/2014

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA 2013/2014

Written By Lemana Sita on Wednesday, July 31, 2013 | 10:11 AM

MAELEKEZO KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA MWAKA 2013/2014 

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe 15/08/2013.

Fomu ya maelekezo (joining instruction) itatumwa kwa mhusika kupitia anuani yake. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye tovuti hii  kwa kubofya katika link ya Chuo husika. 
Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:

1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika;
2. Ada ya muhula wa kwanza sh.100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
 3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na
4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.

Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.

Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo utafungwa tarehe 25/08/2013 saa 12.00 jioni.


<<<<BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA>>>>
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template