Habari Zetu :

Home » , » VURUGU KUBWA MTWARA, NI KATIKA MAANDAMANO KUZUIA GESI

VURUGU KUBWA MTWARA, NI KATIKA MAANDAMANO KUZUIA GESI

Written By Unknown on Wednesday, May 22, 2013 | 12:19 PM







Hali ni mbaya huko MTWARA. Risasi za Moto & Mabomu Yarushwa Bila Huruma, Majengo Yateketea, Watu Wauawa, Daraja Lavunjwa! KIMENUKA!! Watanzania leo hii hawaogopi risasi wala mabomu!
KAULI MBIU NI: "Gesi Haitoki Hata Kwa Bomba La Peni"

Kuna habari kwamba Gari ya JWTZ kutokea kambi ya Nachingwea likielekea Mtwara 'kuongeza nguvu' limepata ajali mbaya na kusababisha maafa ya askari...

Jumla ya askari 32 ndio walikuwa safarini kuelekea mjini Mtwara wakiwa ndani ya gari hilo. Ajali hiyo imepelekea vifo vya Askari wanne (4) wa JWTZ maeneo ya Kilimahewa huko Nachingwea na katika ajali hiyo waliojeruhiwa ni saba (7).







Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

PROFESSIONAL BLOG DESIGNERS

IDADI YA WATU

BLOG ARCHIVE

DROP YOUR COMMENTS HERE

 
Designed by : Bongo Blogs Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Contacts: 0719 625003 / 0765 860437Welcome
Copyright © 2011. SNOUT HOT NEWZ - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template